Bai Bai Simba

Unamuombeaje njaa mtu aliyekusanya bilioni tatu na bado kuna zingine za kushinda ligi ya vpl na mikataba ya udhamini atakayopata ya fedha!
Lazima tumuombee njaa ili asije kupata nyingi zaidi
 
Wasicho jua Utopolo FC ni kwamba na wenyewe wametolewa, watashangilia nani tena saa hizi. Inabidi wabaki kushangilia team yao inayo shinda mechi moja na kudraw mbili. Natabiri watapungua sana mtandaoni kuanzia sasa.
 
Yanga ni wa pili kwenye msimamo,usisahau hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…