Baiskeli Afrika...usafiri wa kudumu.

Atakaa wapi? hapo aliposhika na mkono wa kulia?
 
Uganda 'boda bodas' na mingaro yake.....

 
Watani wetu wa jadi nao hawajawachwa nyuma...

 
Abi,
tuwekee ta TANGA.maanake kule ndio taxi zao
 
From Rwanda with love....😀

...Duh! Kule nyanda za juu kusini hasa kule kibena, mdandu, Ramazani wanaita Kibagadu na wale ndugu zangu wa magharibi kule sehemu za nyakitonto, rulenge, mubinyange huwa wanaita Ngologojo!!! Jamaa hatakiwi kukaa ni kuwa anaweka kamzigo kama vile kiroba cha mahindi au mkungu wa ndizi then anakokota sehemu yenye mlima akifika kwenye mteremko ndio hapo anaburudika!!!! KIla kitu na wakati wake jamani...
 
Kwa kina Raila jamaa wanacheki soka la miembeni....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…