Baiskeli Afrika...usafiri wa kudumu.

Baiskeli Afrika...usafiri wa kudumu.

Haya waganda...Sebo?....

_46799614_sh_-_heavy_load.jpg
 
Ili aweze kuendesha vizuri, siunajua akichoka lazima akae, sasa atakaa wapi?
Ushajibiwa na Laligeni...

...Duh! Kule nyanda za juu kusini hasa kule kibena, mdandu, Ramazani wanaita Kibagadu na wale ndugu zangu wa magharibi kule sehemu za nyakitonto, rulenge, mubinyange huwa wanaita Ngologojo!!! Jamaa hatakiwi kukaa ni kuwa anaweka kamzigo kama vile kiroba cha mahindi au mkungu wa ndizi then anakokota sehemu yenye mlima akifika kwenye mteremko ndio hapo anaburudika!!!! KIla kitu na wakati wake jamani...<!-- google_ad_section_end -->
<!-- / message --><!-- sig -->
 
Hii nasikia ilikua pale Slipway..kuna mtu aliyeona?

wiretz500.jpg
 
Jamaa kijijini kaona kiwingu kinatanda...hamna mwavuli wala nini.

bicycles-in-africa.jpg



Na hapa napo, mpaka kieleweke tu...mzigo uwahii.

Beast_of_Burden
 
Nasikia hizi ndizo Ambulance za vijijini kule Namibia...😀

Bike_Ambulace_Namibia.preview.jpg



Ambulance%20in%20bush-merlin%20Max.preview.jpg



In-Opuwo-2-red-cross.jpg



Hii nayo ni School bus au sijui vipi tena.​

Sunshine-Kindergarten-in-Katutura.jpg
 
Kwa leo naishia hapa. Ngoja nichape kazi nisije nikamwaga unga.
 
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=b_ON6nC8gf8"]
third-wheel-jai_puffin-300x199.jpg
[/ame]


Wakuu hii ni NYC Manhattan



 


Long Island, karibu na pale Mineola stesheni ya reli.
 
Back
Top Bottom