Baiskeli Bodaboda, Bajaji muwe na nidhamu barabara za lami hazijajengwa kwa ajili yenu

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Hamna serikali inayoweza kutenga pesa ijenge barabara ya lami eti bajaji sijui boda ipite

Barabara za lami ni kwa ajili ya magari.

Nawakumbusha wajue hilo so wanapopita kweywe barabara ambazo hazijajengwa kwa ajili yao wawe na nidhamu na kufuata sheria
 
Hamna serikali inayoweza kutenga pesa ijenge barabara ya lami eti bajaji sijui boda ipite
Asante sana mtoa mada kwa uzi wako wa kuwatahadharisha boda na bajaj lakin pia hata sisi wenye magari pia tunapaswa kuzingatia sheria maana hata sisi pia ni visababish vya ajali maana, mfano mzuri siku moja niliona niingie mjin kwa toyo nikashangaa watu wa magari hawapo makini wanaovertake ovyo na ni mjini, nusu wanisababishie ajali ila nikakwepa.

Wazo langu ni kwamba; tusiwasemeeeee sana toyo na bajaji ilihali kuna watu wa magari ambao lesen zao ni za mchongo. though asilimia kubwa ni bajaj na toyo. Asante
 
Ulikuwa unaendesha ama unaendeshwa
 
Back
Top Bottom