Asante sana mtoa mada kwa uzi wako wa kuwatahadharisha boda na bajaj lakin pia hata sisi wenye magari pia tunapaswa kuzingatia sheria maana hata sisi pia ni visababish vya ajali maana, mfano mzuri siku moja niliona niingie mjin kwa toyo nikashangaa watu wa magari hawapo makini wanaovertake ovyo na ni mjini, nusu wanisababishie ajali ila nikakwepa.
Wazo langu ni kwamba; tusiwasemeeeee sana toyo na bajaji ilihali kuna watu wa magari ambao lesen zao ni za mchongo. though asilimia kubwa ni bajaj na toyo. Asante