Baiskeli ya kwanza (1800), haikuwa na pedeli

Baiskeli ya kwanza (1800), haikuwa na pedeli

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Je, baiskeli hii ilitembeaje?

2579094_f520.jpg
 
Ukifungua hiyo link picha zote baiskel hazina pedel sasa sijui walikuwa wanaziendeshaje lol!
 
I suppose walikuwa wanakimbia then ikishachanganya ndio wanainua miguu juu na kui-ride..
 
Hahahah,aisee kuna mmoja imemtupa chini,na inaonekana miaka hiyo wenye mapengo walikuwa kibaooo.Full ajali

Huyo mwenye kuweka Pipes hizo na mtungi wa gesi mwambie aache bangi,la sivyo makalio itakuwa asusa ya gesi hiyo ikilipuka
 
Back
Top Bottom