erique JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 584 Reaction score 573 Sep 7, 2014 #1 Habari za Asubuhi Wadau. Naomba kufahamishwa mahali/duka ambapo naweza pata kununua Baiskeli nzuri ya Mtumba kwa hapa Dar es Salaam Asante
Habari za Asubuhi Wadau. Naomba kufahamishwa mahali/duka ambapo naweza pata kununua Baiskeli nzuri ya Mtumba kwa hapa Dar es Salaam Asante
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 221 Sep 7, 2014 #2 erique said: Habari za Asubuhi Wadau. Naomba kufahamishwa mahali/duka ambapo naweza pata kununua Baiskeli nzuri ya Mtumba kwa hapa Dar rs Salaam Asante Click to expand... Aina gani unayotaka na unakiasi gani?
erique said: Habari za Asubuhi Wadau. Naomba kufahamishwa mahali/duka ambapo naweza pata kununua Baiskeli nzuri ya Mtumba kwa hapa Dar rs Salaam Asante Click to expand... Aina gani unayotaka na unakiasi gani?
erique JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 584 Reaction score 573 Sep 7, 2014 Thread starter #3 Mkuu nahitaji baiskeli kwaajili ya kuendesha kwaajili ya mazoezi,sio za kubebea mizigo
doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,706 Reaction score 2,861 Sep 7, 2014 #4 Nenda ilala machinga complex. Oposite kituo cha daladala kwenda temeke utaona pale au mikocheni kwa mwalimu nyerere pale njia panda. Bei kuanzia 130,000 inategemea na aina
Nenda ilala machinga complex. Oposite kituo cha daladala kwenda temeke utaona pale au mikocheni kwa mwalimu nyerere pale njia panda. Bei kuanzia 130,000 inategemea na aina
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 366 Oct 23, 2016 #5 Naomba namba ya simu ya wauza baiskeli wa mikocheni kwa nyerere