Baiskeli ya Mtumba

Baiskeli ya Mtumba

erique

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
584
Reaction score
573
Habari za Asubuhi Wadau.

Naomba kufahamishwa mahali/duka ambapo naweza pata kununua Baiskeli nzuri ya Mtumba kwa hapa Dar es Salaam

Asante
 
Habari za Asubuhi Wadau.

Naomba kufahamishwa mahali/duka ambapo naweza pata kununua Baiskeli nzuri ya Mtumba kwa hapa Dar rs Salaam

Asante

Aina gani unayotaka na unakiasi gani?
 
Mkuu nahitaji baiskeli kwaajili ya kuendesha kwaajili ya mazoezi,sio za kubebea mizigo
 
Nenda ilala machinga complex. Oposite kituo cha daladala kwenda temeke utaona pale au mikocheni kwa mwalimu nyerere pale njia panda. Bei kuanzia 130,000 inategemea na aina
 
Naomba namba ya simu ya wauza baiskeli wa mikocheni kwa nyerere
 
Back
Top Bottom