Baiskeli za mama !!!! kwani watanzania ni watoto

Kweli kabisa hizo baiskeli ni zamani ila zimepakwa rangi tu . Kwa wanaokumbuka miaka ya 90 kulikuwa na baiskeli zinaitwa Bugati * ndo hizi sasa zimerudi tena.
 
Kikuwel nilikuwa naona utan mwing wa hizi bike kwamba n mbovu juzi npo usukuman huko nkaikagua moja aseee haya n matakataka chuma yake ni laini sana ukipiga brek hairud had urudshe mwenyew rim rahs sana kupinda kwakwel sjui kesho ya nchi hii...
 
Hii habari imetangazwa Kizimkaz ama Wete...😶
 
Aliimba mtoto wa Mch Mbarikiwa
"Wanatuona manyani"
 
V8 za wanyonge ,ccm Mungu anawaona.
Mbona hatuoni mzee wasira akiendesha,ili kwanza zimburuze chini na tumbo lake?
 
Watz pamoja na maujinga ya ccm ila sisi pia tuna mambo ya ajabu ajabu. Najaribu kuji assess mimi binafsi anaanzia wapi mtu kuja kunipa hicho kibaiskeli.
Hawana akili kabsa labda ya kutotembea uchi tu...
 
Icho ni moja vipengele alivyo pewa muwekezaji mmoja cha kuleta byskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…