Bajaj business, 12,000,000

 
 

...kaka, lifespan ya kibajaj ni kama askari wa kimarekani Vietnam, hio miaka mitatu naona kama unapiga hesabu za mbali sana.
 
mmmh ili la bajaj sikushauri,labda dereva uwe umemchonga mwenyewe,maana most of them wapo rough ile mbaya,kwa hiyo within a short period even one month.matatizo yataanza.ila kama upo serious anza na moja ujue inalipa au hailipi!lakini sikukatishi tamaa ila ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia ndani.
 
Kweli wa tz sio wabunifu,yaani bajaj zilivyo jaa na wewe unaenda funga foleni???????milioni 12 but ubunifu sifuri.fuga kuku basi

Wewe hujawahi hata kufanya biashara unavyoonyesha. Ubunifu gani unaoutaka. Toa ushauri wa maana. Kujaa kwa bajaji siyo issue,issue ni kuweza kucompete.Mbona wafuga kuku wamejaa kila kona?
 
Kwanini usiweke ktk KILIMO KWANZA mzee...
 

Kaka take care with Partnership. Kwa Tanzania Partnership ni Ugonjwa wa Moyo nakuambia. I have a lot of true stories on this!!! Kama partnership inge work Hapa Tz kweli tungekua mbali, tena mbali sana. Mimi hapa nina mil 22 benki lakini nashindwa ku invest coz bado ni ndogo. I want them to in the rank of 40. ni nunue coaster kaka
 

Mkuu naona analysis yako haijakaa vizuri. Revenue sio profit kaka. Profit = Revenue - Costs. Aliyekwambia cost za bajaji ni laki moja kwa mwaka kakudanganya. Tyre inauzwa about Tshs 40,000 kwa moja na half life yake is about 6months, Vikombe, vinauzwa about Tshs 25000 na vinakufa marakwa mara so kwa kifupi cost ni zaidi ya hiyo laki moja unayosema. Sinauzoefu na biashara hiyo but I have a friend alinipa experience yake kidogo. Nakushauri fanya utafiti wa kutosha usiwe over-ambitious. Anyway is a good business
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…