Bajaj inafungwa mtungi wa gesi? Hata kama ni ubahili

Bajaj inafungwa mtungi wa gesi? Hata kama ni ubahili

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hata kama ni ubahili.

Huu wa hawa Maafisa Usafirishaji umezidi aisee!
 

Attachments

  • images (30).jpeg
    images (30).jpeg
    12.1 KB · Views: 11
Hata kama ni ubahili.

Huu wa hawa Maafisa Usafirishaji umezidi aisee!
Mkuu kwenye biashara ya usafirishaji ina faida zaidi kwa zaidi ya asilimia 40 ukitumia gesi badala ya mafuta

Kwa mfano
Unahitaji mafuta ya 100,000 kupata faida ya sh 80,000
Lakini ili kupata faida ya 80,000 unahitaji gesi ya sh 60,000 tu
 
We jamaa mleta Uzi umetumwa na wenye vituo vya kuweka oil 😎, Yan MTU Aache kutumia gesi ,akatumia oil inapanda kila kukicha
 
Back
Top Bottom