Wangeweka na milango ya kioo kingekuwa mwake kinoma, labda kwa kuwa ni rahisi ku overturn ndo maana wameweka wazi ili uwahi kuchumpa nje fasta wakati wa emergency
Hii kitu ni nzuri sana, kwani haiwezekani kwa size hiyo wakaweka taili nne? manake niliona siku moja ikianguka mbele yangu pale Tigo , Gold star nikaapa kutopanda tena.