Bajaj new model

Bajaj new model

M-bongotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,736
Reaction score
408
Hii ni habari njema sana kwa watumiao usafiri huu
 

Attachments

  • ATT00007.jpg
    ATT00007.jpg
    46.9 KB · Views: 238
  • ATT00010.jpg
    ATT00010.jpg
    50.3 KB · Views: 233
  • ATT00013.jpg
    ATT00013.jpg
    53.1 KB · Views: 221
zikija bongo si zakuacha nimezipenda...
 
Wangeweka na milango ya kioo kingekuwa mwake kinoma, labda kwa kuwa ni rahisi ku overturn ndo maana wameweka wazi ili uwahi kuchumpa nje fasta wakati wa emergency
 
Hii kitu ni nzuri sana, kwani haiwezekani kwa size hiyo wakaweka taili nne? manake niliona siku moja ikianguka mbele yangu pale Tigo , Gold star nikaapa kutopanda tena.
 
Back
Top Bottom