Piga picha na ndani, kamandaTvs king namba B ya 2017
Ipo katika hali nzuri, tatizo imekosa matunzo, haijawahi kufunguliwa injini wala kupelekwa bodi.
Inafanya safari Ubungo Riverside> Mwenge
Unafika unawasha na kuondoka.
Ipo Ubungo
0654314066
Bei 2.8milioni.
View attachment 1502003View attachment 1502001
Vipi kwa 2m?Tvs king namba B ya 2017
Ipo katika hali nzuri, tatizo imekosa matunzo, haijawahi kufunguliwa injini wala kupelekwa bodi.
Inafanya safari Ubungo Riverside> Mwenge
Unafika unawasha na kuondoka.
Ipo Ubungo
0654314066
Bei 2.8milioni.
View attachment 1502003View attachment 1502001
Hiyo ni service ya kawaida mkuuKama haijawahi kufunguliwa injini hiyo itakuwa na gharama kubwa coz lazima itakuwa imeanza kula oil, na kupoteza nguvu milimani, piston itakuwa imekonda na ring zake zitakuwa kwisha kabisa, valvu kwisha. Nazungumzia kwa uzoefu, nimefanya biashara hii kwa muda wa kutosha, nina uzoefu
Hiyo ni bei sahihi kabisa kwa bajaji yenye 3yrsUkifika 2.5 tunaweza kuingia makubaliano