INAUZWA Bajaj TVS king inauzwa bei rahisi

INAUZWA Bajaj TVS king inauzwa bei rahisi

Anofaby

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
122
Reaction score
34
Tvs king namba B ya 2017
Ipo katika hali nzuri, tatizo imekosa matunzo, haijawahi kufunguliwa injini wala kupelekwa bodi.

Inafanya safari Ubungo Riverside> Mwenge
Unafika unawasha na kuondoka.

Ipo Ubungo
0654314066

Bei 2.8milioni.

IMG20200704160623.jpg
View attachment 1502001
 
Kama haijawahi kufunguliwa injini hiyo itakuwa na gharama kubwa coz lazima itakuwa imeanza kula oil, na kupoteza nguvu milimani, piston itakuwa imekonda na ring zake zitakuwa kwisha kabisa, valvu kwisha. Nazungumzia kwa uzoefu, nimefanya biashara hii kwa muda wa kutosha, nina uzoefu
 
Hiyo ni service ya kawaida mkuu
 
"Haijawahi kwenda body"

unamaanisha nini mbona imechomelewa?
 
Back
Top Bottom