INAUZWA Bajaj TVS King

johnj

Member
Joined
Jul 23, 2008
Posts
91
Reaction score
31
Ninauza bajaj TVS King ambayo imeshatumika kwa miaka miwili hivi. bei ni shilingi za kitanzania 2,500,000/= ila inaweza kupungua kidogo kulingana na tutakavyokubaliana na mnunuzi. kwa sasa ipo Tabata Segerea.

mnunuzi yeyote anaweza kuni pm au kuandika hapa na kama atapenda kuja pia tuwasiliane kwa kunitumia private message nami nitampigia simu na kumpa maelekezo
 

Attachments

  • bajaj_kati.jpg
    157.4 KB · Views: 269
  • bajaj_nyuma.jpg
    193.7 KB · Views: 271
  • bajaj_kulia.jpg
    179.8 KB · Views: 272
Mkubwa habari yako?
Sina mpango wa kununua Bajaji kwa sasa ila nahitaji kufanya hivyo siku chache zijazo! Naomba unifahamishe yafuatayo.
1. Je, Bajaji inaweza kusafir umbali mrefu (mfano kutoka Dar adi Kigoma)?
2. Kama zipo Bajaji zenye uwezo uo(hapo juu) naomba unitajie ni Bajaji aina ipi na ni moder gani.
3. Mwisho naomba unitajie bei ya bajaji zinazoweza kusafiri masafa marefu(bei ya dukani)
AHSANTE

Note; Mwengine yeyote mwenye ufahamu juu ya hili naomba anijuze,
 
kwa kifupi unaweza kwenda na bajaj hadi kigoma maana hata kwa baiskeli unaweza kwenda issue ni kwamba utatumia muda gani kwa safari hiyo na itabidi upumzike mara ngapi kabla ya kuendelea na safari.
Bajaj Nzuri kabisa so far (sio kwa kwenda kigoma bali kwa uimara) ni TVs King
Dukani zilikuwa zikiuzwa milioni saba na nusu hivi. sina hakika kwa leo zitakuwa bei gani lakini inaweza kuwa milioni nane au nane na nusu.
 
Weka picha zake hapa
nitajitahidi kuweka picha either leo jioni au kesho ila picha inaweza kuwa misleading na ndiyo maana nikasema mtu aje aione ndio anunue picha inaweza kuwa ya bajaj nyingine wakati inayouzwa ni nyingine. nafikiri unaona picha za watu facebook !
 
nitajitahidi kuweka picha either leo jioni au kesho ila picha inaweza kuwa misleading na ndiyo maana nikasema mtu aje aione ndio anunue picha inaweza kuwa ya bajaj nyingine wakati inayouzwa ni nyingine. nafikiri unaona picha za watu facebook !
Sasa mkuu ukiweka picha ya bajaji ambayo sio inayo uzwa utakuwa una mkomoa nani?
 
Hesabu ya Bajaj nowadays ni bei Gani!? Je ukitaka kuweka mkataba ni bei gani hesabu kwa siku!?
 
Hesabu ya Bajaj nowadays ni bei Gani!? Je ukitaka kuweka mkataba ni bei gani hesabu kwa siku!?
ni kwenye 15,000/= kwa siku inaweza kupanda hadi 25,000/= kutegemea na upya wa bajaj na mahali inapofanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…