Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Pambana mkuuHabari JF
Baada ya kupambana kwa muda mrefu Sasa nimepata Bajaj ya mkataba!
Nikimaliza itakuwa Yangu!
Ubunifu ntakao ufanya Ni Kama ifuatavyo.
Nitaandaa Business card sizizo pungua 100
Nitakuwa Ninampa abiria ili tuwe na ukaribu wa kazi.
Kama Kuna mtu analakuongezea karibu Sana.
Mkataba msingi wake Ni afya
Kwaiyo nitaanza ratiba ya kwenda Gym Kila siku usiku ili magonjwa yasiwe changamoto kwangu!
Naombeni Kama Kuna ushauri au lolote mnisaidie
Hivi hiyo hela ya kuchezea kutengeneza hizo business card unaitoa wapi? Biashara mkuu haitaki hizo mbwembwe za kisoro. Mbongo unamjua tu alivyo you can't entice him/her on pieces of papers. Mmatumbi siyo wa kuzoeana naye kabisa kwa Kila kitu. Wee ngojea tu watakapokupandia mabegani kwenye Bajaj Yako ukiendesha.Habari JF,
Baada ya kupambana kwa muda mrefu, sasa nimepata bajaj ya mkataba! Nikimaliza itakuwa yangu.
Katika kuongeza ubunifu kwenye biashara, nitaandaa business card sizizo pungua 100. Nitakuwa ninampa abiria ili tuwe na ukaribu wa kazi.
Mkataba msingi wake ni afya
Kwaiyo nitaanza ratiba ya kwenda gym kila siku usiku ili magonjwa yasiwe changamoto kwangu.
Kama uuna mtu ana la kuongezea, ushauri, karibu sana.
Nashukuru Sana Mungu akubalikiIvi iyo hela ya kuchezea kutengeneza hizo business card unaitoa wapi? Biashara mkuu haitaki hizo mbwembwe za kisoro. Mbongo unamjua tu alivyo you can't entice him/her on pieces of papers. Mmatumbi siyo wa kuzoeana naye kwa Kila kitu. Wee ngojea tu watakapokupandia mabegani kwenye Bajaj Yako ukiendesha.
...Mkuu, mi naomba Kuuliza TU; Hivi Sasa Boda Boda Kwa Wiki Mkataba ni Shilingi Ngapi?Habari JF,
Baada ya kupambana kwa muda mrefu, sasa nimepata bajaj ya mkataba! Nikimaliza itakuwa yangu.
Katika kuongeza ubunifu kwenye biashara, nitaandaa business card sizizo pungua 100. Nitakuwa ninampa abiria ili tuwe na ukaribu wa kazi.
Mkataba msingi wake ni afya
Kwaiyo nitaanza ratiba ya kwenda gym kila siku usiku ili magonjwa yasiwe changamoto kwangu.
Kama uuna mtu ana la kuongezea, ushauri, karibu sana.
Mbona kama unamkatisha tamaaIvi iyo hela ya kuchezea kutengeneza hizo business card unaitoa wapi? Biashara mkuu haitaki hizo mbwembwe za kisoro. Mbongo unamjua tu alivyo you can't entice him/her on pieces of papers. Mmatumbi siyo wa kuzoeana naye kabisa kwa Kila kitu. Wee ngojea tu watakapokupandia mabegani kwenye Bajaj Yako ukiendesha.
Wengi wanafanya kwa wiki 70(elfu 70)...Mkuu, mi naomba Kuuliza TU; Hivi Sasa Boda Boda Kwa Wiki Mkataba ni Shilingi Ngapi?
Nashukuru Sana Mkuu!nikushauri hiyo bajaj kama ni mpya sawa ingia mkataba ila uwe makini pale unapotaka kutoa daywaka ni nani umpe ili combo kisichoke mapema kingine soma mkataba vizur kkusiwena sehemu itakayokuja kukuumiza na swala la BC sio mbaya unakua smart kwenye kaz yako sio lazima umuombe mtu namba unampatia BC unasepa mwenyewe atakukumbuka . ikiwezekana tafuta kijiwe kinachotoa ingia mzigoni mumgu akakutangulie.
Ukiweza kaombe uingie feri kisiwani maana hakuna dala dala kule usafiri mkubwa ni bajajJamani kwa mwenye uelewa
Mjini ni wapi au hata hapa mbagala au
Naomba ufafanuzi
Ndio nipo huku mkuu!Ukiweza kaombe uingie feri kisiwani maana hakuna dala dala kule usafiri mkubwa ni bajaj