Bajaj ya mkataba

Bajaj ya mkataba

1. Jiunge Bolt na Applications nyingine.
2. Angalia njia ambayo jioni au Asubuhi ina abiria wengi wanaoenda kazini au kurudi majumbani wabebe kwa jero/buku/ au buku mbili mbili.
3. Kuwa na kauli nzuri kwa abiria.
4. Jipe siku moja ya break na service ya bajaji.
5. Idea ya business card nzuri. Itakusaidia.
 
Habari JF
Baada ya kupambana kwa muda mrefu Sasa nimepata Bajaj ya mkataba!

Nikimaliza itakuwa Yangu!

Ubunifu ntakao ufanya Ni Kama ifuatavyo.
Nitaandaa Business card sizizo pungua 100

Nitakuwa Ninampa abiria ili tuwe na ukaribu wa kazi.

Kama Kuna mtu analakuongezea karibu Sana.

Mkataba msingi wake Ni afya
Kwaiyo nitaanza ratiba ya kwenda Gym Kila siku usiku ili magonjwa yasiwe changamoto kwangu!

Naombeni Kama Kuna ushauri au lolote mnisaidie
Pambana mkuu

Mimi ndio ombi langu ilo kila siku nipate bajaj
 
Habari JF,

Baada ya kupambana kwa muda mrefu, sasa nimepata bajaj ya mkataba! Nikimaliza itakuwa yangu.

Katika kuongeza ubunifu kwenye biashara, nitaandaa business card sizizo pungua 100. Nitakuwa ninampa abiria ili tuwe na ukaribu wa kazi.

Mkataba msingi wake ni afya
Kwaiyo nitaanza ratiba ya kwenda gym kila siku usiku ili magonjwa yasiwe changamoto kwangu.

Kama uuna mtu ana la kuongezea, ushauri, karibu sana.
Hivi hiyo hela ya kuchezea kutengeneza hizo business card unaitoa wapi? Biashara mkuu haitaki hizo mbwembwe za kisoro. Mbongo unamjua tu alivyo you can't entice him/her on pieces of papers. Mmatumbi siyo wa kuzoeana naye kabisa kwa Kila kitu. Wee ngojea tu watakapokupandia mabegani kwenye Bajaj Yako ukiendesha.
 
Ivi iyo hela ya kuchezea kutengeneza hizo business card unaitoa wapi? Biashara mkuu haitaki hizo mbwembwe za kisoro. Mbongo unamjua tu alivyo you can't entice him/her on pieces of papers. Mmatumbi siyo wa kuzoeana naye kwa Kila kitu. Wee ngojea tu watakapokupandia mabegani kwenye Bajaj Yako ukiendesha.
Nashukuru Sana Mungu akubaliki
 
Habari JF,

Baada ya kupambana kwa muda mrefu, sasa nimepata bajaj ya mkataba! Nikimaliza itakuwa yangu.

Katika kuongeza ubunifu kwenye biashara, nitaandaa business card sizizo pungua 100. Nitakuwa ninampa abiria ili tuwe na ukaribu wa kazi.

Mkataba msingi wake ni afya
Kwaiyo nitaanza ratiba ya kwenda gym kila siku usiku ili magonjwa yasiwe changamoto kwangu.

Kama uuna mtu ana la kuongezea, ushauri, karibu sana.
...Mkuu, mi naomba Kuuliza TU; Hivi Sasa Boda Boda Kwa Wiki Mkataba ni Shilingi Ngapi?
 
Ivi iyo hela ya kuchezea kutengeneza hizo business card unaitoa wapi? Biashara mkuu haitaki hizo mbwembwe za kisoro. Mbongo unamjua tu alivyo you can't entice him/her on pieces of papers. Mmatumbi siyo wa kuzoeana naye kabisa kwa Kila kitu. Wee ngojea tu watakapokupandia mabegani kwenye Bajaj Yako ukiendesha.
Mbona kama unamkatisha tamaa
 
Nikushauri hiyo bajaji kama ni mpya sawa ingia mkataba ila uwe makini pale unapotaka kutoa daywaka ni nani umpe ili combo kisichoke mapema kingine soma mkataba vizuri kusiwe na sehemu itakayokuja kukuumiza na swala la BC sio mbaya unakua smart kwenye kaz yako sio lazima umuombe mtu namba unampatia BC unasepa mwenyewe atakukumbuka . ikiwezekana tafuta kijiwe kinachotoa ingia mzigoni mumgu akakutangulie.
 
nikushauri hiyo bajaj kama ni mpya sawa ingia mkataba ila uwe makini pale unapotaka kutoa daywaka ni nani umpe ili combo kisichoke mapema kingine soma mkataba vizur kkusiwena sehemu itakayokuja kukuumiza na swala la BC sio mbaya unakua smart kwenye kaz yako sio lazima umuombe mtu namba unampatia BC unasepa mwenyewe atakukumbuka . ikiwezekana tafuta kijiwe kinachotoa ingia mzigoni mumgu akakutangulie.
Nashukuru Sana Mkuu!
 
Jamani kwa mwenye uelewa
Mjini ni wapi au hata hapa Mbagala au
Naomba ufafanuzi
 
Back
Top Bottom