Bajaji, guta, pikipiki zinanunuliwa kwa Kasi Sana

Sambinyakwe kitololo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
2,419
Reaction score
2,940
Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR*

Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever

Kenya naona ndo wako no D
 
Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR*

ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever

kenya naona ndo wako no D
Bei ya gari na guta ni sawa
 
Ni kwa sababu upepo wa biashara umehamia kwenye vyombo hivyo kutokana na uingizaji wake wa pesa.

Tax asilimia kubwa biashara yake imeuliwa na Bajaji kutokana na uendeshaji wake kibiashara, hivyo wengi sasa wametoka kwenye Tax wamehamia kwenye Bajaji.

Guta limeteteresha soko la Carry kibiashara hivyo wengi sasa wamewekeza huko.

Ukija kwenye pikipiki ndio usiseme.
 
Sahihi chief
 
Ni kweli, huku machakani ni mwwndo wa guta tu hakuna virikuu wala town ace
 
Back
Top Bottom