Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bajaji zililetwa kama usafiri wa walemavu. Baadaye zikaruhusiwa kusafirisha abiria kutoka maeneo ya pembezoni kuja barabara kuu. Leo hii sehemu nyingi zimegeuka usafiri barabara kuu.
Na hili ni baada ya wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakuu wa polisi kuona ni biashara nzuri na kuianza. Haingii kabisa akilini kupiga marufuku hiace na kuruhusu bajaji. Miji imeharibika kabisa. Huko Mbeya na Iringa ni vurugu tupu.
Wanasiasa na viongozi ndiyo huwa wa kwanza kuharibu taratibu, hii habari ya Bajaji barabara kuu iangaliwe upya kabla hatujafika sehemu tukashindwa kudhibiti.
Maana mwisho wake ni usafiri mzuri kama Costa zitaondoka barabarani na miji ikawa vurugu tupu.