TANGAZO TANGAZO
Pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji) aina ya tvs king (rangi ya blue) inauzwa. Imetumika kwa mwaka 1, iko katika hali nzuri.
Bei ni Tsh 3,000,000.
Kwa maelezo zaidi; Piga simu: 0658 17 19 26
Mwaga number zake za usajili hapa tuingalie kwenye mtandao wa TRA.
Halafu tuambie kwanini unaiuza au ndio tena.
2m zipo,chap chap ili nimlete fundi aikague
Mwaga number zake za usajili hapa tuingalie kwenye mtandao wa TRA.
Halafu tuambie kwanini unaiuza au ndio tena.
2m zipo,chap chap ili nimlete fundi aikague