Bajaji inauzwa bajaji inauzwa

Bajaji inauzwa bajaji inauzwa

activemedia africa

Senior Member
Joined
May 28, 2013
Posts
141
Reaction score
26
TANGAZO TANGAZO
Pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji) aina ya tvs king (rangi ya blue) inauzwa. Imetumika kwa mwaka 1, iko katika hali nzuri.
Bei ni Tsh 3,000,000.
Kwa maelezo zaidi; Piga simu: 0658 17 19 26
 
Mwaga number zake za usajili hapa tuingalie kwenye mtandao wa TRA.
Halafu tuambie kwanini unaiuza au ndio tena.
2m zipo,chap chap ili nimlete fundi aikague
 
Mwaga number zake za usajili hapa tuingalie kwenye mtandao wa TRA.
Halafu tuambie kwanini unaiuza au ndio tena.
2m zipo,chap chap ili nimlete fundi aikague

Mkuu namba za usajil ni T... CAU,
Sababu ya kuuza: Nabadili biashara, nataka kuwa mfugaji sasa
2m hapana.
 
Hapo kijiweni inapofanya kazi,unaingiza sh.ngapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom