Habari za jumapili ndugu zangu.
Nimebahatika kupata pesa kidogo kiasi cha millioni 6 hivi nataka kujaribu biashara ya Bajaji.naombeni ushauri ni ipi inafaa kati ya TVS na PIAGIO? nitashukuru kwa ushauri wenu ili nifanye uamuzi.niweke wazi kuwa naishi Dar hivyo niko tayari kwa ushauri wenu ili tusukume uchumi na kufanya maisha kuwa bora kwa kila Tanzania.