Bajaji ya biashara inatakiwa

losi

Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
16
Reaction score
5
Wana jamiii,,,naombeni mwenye taarifa zozote za wapi Bajaji used kutoka nje zinauzwa. Nataka bajaji used ambayo iko katika hali nzuri kwa ajili ya kufanyia biashara. Mtaji wangu sii zaidi ya milioni3. Ila kama nitapata nzuri zaidi nikaongeza kidogo sawa. Nikipata hata 2 nitashukuru zaidi. Msaada wenu tafadhali. Shukrani
 
uko wapi ninayo moja nauza dodoma 3.3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…