Wana jamiii,,,naombeni mwenye taarifa zozote za wapi Bajaji used kutoka nje zinauzwa. Nataka bajaji used ambayo iko katika hali nzuri kwa ajili ya kufanyia biashara. Mtaji wangu sii zaidi ya milioni3. Ila kama nitapata nzuri zaidi nikaongeza kidogo sawa. Nikipata hata 2 nitashukuru zaidi. Msaada wenu tafadhali. Shukrani