Bajaji ya mkopo benki: Ukipata ajali mkopo unaendelea au unasimama?

Bajaji ya mkopo benki: Ukipata ajali mkopo unaendelea au unasimama?

20230324_175821.jpg
 
Sawa sasa kaka sijakuelewa jambo

Je bajaj itakapo pona, utapewa uendleee na kazi ili uweze kulipa deni lao, au mkataba ndio utakuwa umekushinda?

Nikiwa na maana baaada ya bajaj kupona wanakuja kuichukua?
Ikitokea ni written off maana yake bank italipwa pesa za bajaj mpya, sasa hapo ndo mtakaa muongee.
Kama itatengenezwa maana yake utatakiwa utafute pesa za kuwalipa bank

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom