Bajaji yawaka moto mawasiliano, makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
AJALI imetokea katika maeneo ya makutano ya barabara ya kutoka Simu 2000 na Mwenge kuelekea Ubungo ambapo bajaji imeungua moto mara baada ya askari wa barabarani kuikamata na kutaka kuiwasha kutokana na kosa la kupita kwenye barabara ya mwendokasi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ambao walikuwa ni abiria wa bajaji hiyo wamesema dereva wa bajaji alijaribu kupita kwenye barabara ya mwendokasi maeneo ya baruti kukwepa foleni ndipo maaskari kuamua kuifuatilia bajaji hiyo.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…