Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Elimu yetu, Vyuo vyetu na Shahada zetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namaanisha alichokifanya waziri ni kuwa mtumiaji wa jengo alipe kodi ya jengo. Kama umepangisha jengo, muda ule uliopangisha lile jengo ni lako labda kama mkataba ueleze vinginevyo.Mkuu JABALI LA KARNE, suala la Mpangaji kulipa Kodi ya Nyumba lipo wazi.
Ulitaka kumaanisha "Mpangaji analipa Kodi ya Majengo?"
Motor vehicle na hata kwenye mishahara pia. indirect taxes za namna hii zina uhakika wa ukusanyaji kuliko hata kwa kupitia EFD. Vinginevyo Wizara wakiicha kodi hii wasahau kupandisha mishahara ya watumishi, kulipa madeni,kukamilisha miradi nkNAKUPONGEZA MWIGULU LAMEKI NCHEMBA UMEFANYA JAMBO ZURI MNO,SASA PROPERTY TAX ITAPATIKANA VIZURI MNO BY MASS PAYMENTS.
HONGERA SANA.
HILI LINAFANANA NA LILE LA MOTOR VEHICLE.
Hawa wenye taxi bubu mitaani mbona hawalipi kodi hawa na hakuna anaye hangaika nao. Ni eneo muhimu sana la kiubunifu wa kupata kodi kirahisi au kwa vile hiyo biashara ni za wakubwasio kila jambo linapaswa kupingwa.Unapiga kelele kuhusu kodi ya majengo wakati pesa yenyewe ni hela mbuzi 12,000/= kwa mwaka haina effect yeyote kwa mpangaji.Kama nyumba inawapangaji wa 5 inamaana watalipa chini ya 2000 kwa mwaka mzima.Wapangaji kuna siku wanakaa bila kulipa kodi mfano anapokaribia kuhama wengi wanaomba siku 3 au wiki ndio wanaondoa vyombo.
ikalalamika unaambiwa toa solution.Nimeanza kupata mashaka nanuwezo wako wa kuchambua mambo .Kitendo cha Waziri wa Fedha kupendekeza kodi ya majengo ikatwe kwenye manunuzi ya umeme kinapaswa kufafanuliwa vizuri ili wananchi waelewe vizuri.
Hii ni kwa sababu nyumba nyingi zina wapangaji na ambao ndio walipaji wa bili ya umeme kwa vile wao ndio wanaoutumia, ziko nyumba ambazo wenye nyumba hawamo kabisa, wanaokaa humo ni wapangaji tu, wanawezaje kulipishwa kodi ya jengo kupitia ununuzi wa umeme huku wakiwa si wenye nyumba?
Hata kama hela hiyo itakatwa kidogo kwa mtindo wa kudunduliza, lakini haipaswi kulipwa na wapangaji .
Hili lifafanuliwe au lifutwe tuweke utaratibu mwingine utakaowalipisha kodi ya majengo wahusika tu.
Je majengo ya serikali na mashirika/taasisi za dini nayo si yatalipa kodi ya jengo kupitia Luku au itakuwaje?Kwani hulipi luku , haufaidiki na hilo jengo , sema mwenye nyumba apunguze kodi ya nyumba, ili hela ya property tax aliokuwa atanipatia kwenye rent aipate sehemu moja ya kwenye luku
Je majengo ya serikali na mashirika/taasisi za dini nayo si yatalipa kodi ya jengo kupitia Luku au itakuwaje?Kwani hulipi luku , haufaidiki na hilo jengo , sema mwenye nyumba apunguze kodi ya nyumba, ili hela ya property tax aliokuwa atanipatia kwenye rent aipate sehemu moja ya kwenye luku
Kodi hii itafanikiwa sana kulingana na idadi ya watanzania kuwa kubwa ukilinganisha na nchi nyingine Afrika Mashariki- 60mWashenzi hao wakatoe mavuzi yao wapate hizo huduma.
Hapa ukitazama kila kelele ya chiriku mambo hayaendi , serikali shikilieni hapo hapo..Hii nchi ina watu walalamishi na wakulaumu Sana na wapenda vya bure
Wewe ni juha kabisa.unashindwa nini kujua kua kuchomeka hizo kodi kwenye mafuta ni mbinu tu ya serikali kuongeza makusanyo kwa wingi.Mambo mengine inaonekana umekariri tu ndo maana huna mawazo mapana zaidi ya hicho ulichokaririshwa.Mjinga ni wewe,usilete mfano irrelevant na usiwe mpuuzi,,hata hizo kodi za biashara unadhani anaelipa ni mwenye biashara au yeye ni daraja?
Hujui hata dhana ya tax unaropoka tuu,kwa akili yako mbovu unadhani kodi ya mafuta analipa mwenye gari tuu au mtumiaji kwa njia ya nauli?
Ndo nakueleza leo huyo unaemwita mwenye nyumba eti atalipa nini kwani anaishi mbingini? Hatumii umeme?
Nasema hivi na ujue kuanzia leo hiyo ni kodi kwa kila mkaaji awe mmiliki au mpangaji,unalipia huduma ya jengo unaloishi whether umepanga au umejenga.
Na ndio maana ukipanga unakuwa sehemu ya mmiliki wa hiyo nyumba kwa muda na kulingana na pesa uliyolipa.Lipa kodi hakuna kichaka cha kupanga utakwepa hakipo.
Narudia tena kushauri serikali kupitia wenyeviti wa mitaa wabainishe kila kipande cha ardhi Ili kilipiwe kodi ya ardhi na kudhibiti kuhodhi ardhi na kutoiendeleza,huko kuna pesa nyingi Sana.
Ulitaka uchomekwe wewe kwenye anal yako ndio mapato yaongezeke?Wewe ni juha kabisa.unashindwa nini kujua kua kuchomeka hizo kodi kwenye mafuta ni mbinu tu ya serikali kuongeza makusanyo kwa wingi.Mambo mengine inaonekana umekariri tu ndo maana huna mawazo mapana zaidi ya hicho ulichokaririshwa.
Hujui kitu kijana , tulia .Ukilalam
ikalalamika unaambiwa toa solution.Nimeanza kupata mashaka nanuwezo wako wa kuchambua mambo .
Kodi ilikuwa inalipwa 20,000/= kwa sasa unalipa 1000/= kwa mwezi yaani kwa mwaka 12,000/.Hivi kwa akili zako kweli wapangaji watatu au wanne watashindwa kulipa 1000/= kwa mwezi ambayo sawa na 250/= kwa mwezi kwa wapangaji wanne ambayo ni sawa na 62.5/=kwa siku.???? na kuna nyumba zina wapangaji zaidi ya watano.
Kwa nn unaamini mwenye nyumba ndio anapaswa kulipa hii kodi peke yake,???Yaani na sawa una mshikaji mnalala wote kitanda kimoja kitanda chako ,mashuka yako lakini wewe ndio ufue mashuka peke yako au umemuazima kitanda cha kulalia lakini mashuke hawe anakuletea wewe umfulie.Hii ni kodi ya uzalendo ni bora utoe mbadala wa hii kodi kuliko kuanza tu kukosoa bila solutions.
Maoni yako ni kwa mtazamo wa mjini zaidi, vijijini ambako umeme umesambaa kila kona, watu wanaishi kwenye nyumba zao.Kodi kisheria inatakiwa kulipwa na anayefaidika siyo dalali
Nyumba nyingi ni wapangaji wanaishi
Hiyo kodi itakuwa inalipwa na wapangaji mwenyenyumba hapati maumivu
Inakuaje sheria na rais hajasaini kuidhinishaWabunge wenu wamekubali na imeshapitishwa sasa ni sheria. CCM ni mtetezi aa wanyonge kweli. Bia imetelemshwa bei na mabando ya simu juu. CCM hoyee!
Sasa hapa kinacho kuwasha nini au shida yako hapa ni nini hutaki yalipe au unataka yalipeJe majengo ya serikali na mashirika/taasisi za dini nayo si yatalipa kodi ya jengo kupitia Luku au itakuwaje?
Hapa nimeshindwa English au inglish yako ni ngumu. Nimeshindwa kupata gist ya shida iliyopoMwigulu ni mchumi mwana siasa hame- base kwenye siasa zaidi ya ualisia wa kazi
Kiuchumi WANTES and NEEDS lazima zizingatiwe ,
Huwezi kusema wantes ipo cheap kuliko needs
Huoni hapo kama kuna shida kichwani