English Learner
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 356
- 357
Sasa hilo zoezi si lako tena ni ki-corola chako cha mil 7... waachie walengwa...But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?
Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo waonekane hata katika plate namba za magari yao au lengo ni kukuza mapato ya serikali bila kuangalia mitazamo ya kijamii.
Millioni 5? Hapa Maryland tags maalumu unalipa dola 50 tu.
Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo waonekane hata katika plate namba za magari yao au lengo ni kukuza mapato ya serikali bila kuangalia mitazamo ya kijamii.
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?
Huu ulimbukeni unaelekea kuua Taifa kwa mtindo huu.
Ya mwaka ujao tusishangae, ikija na style ya vyangu doa na mashoga kupewa lesini na kulipia kodi.
Eeh! Mungu ni chukue mapema kabla maandiko hayajatimia..
hahahah, Itakuwa jabu kukuta mwenye bodaboda naplate number kama hiyo, Chamuhimu hii kitu iangaliwe kwa makini watu wasichakachue. TENA MUDA NI MDOGO WANGEWEKA MIAKA 2 ILI TUWE WACHACHE MANA HII KITU INATAKIWA IWE UNIQUE!
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?