Bajeti imewasilishwa; Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mil

Bajeti imewasilishwa; Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mil

Vanity tags zamani ilikuwa kiasi gani?
 
Itakuaje kwa wale ambao majina yatafananana? Lets say mimi Mtei nataka gari yangu iwe na jna langu halafu na ndugu zangu wengne nao wanataka ku2mia jna hlo hlo maarufu. Itakuaje?
 
Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo waonekane hata katika plate namba za magari yao au lengo ni kukuza mapato ya serikali bila kuangalia mitazamo ya kijamii.

Na wakiona inawalipa watapandisha bei kama wanavyofanya katika bia na sigara.
 
Millioni 5? Hapa Maryland tags maalumu unalipa dola 50 tu.

Jasusi juzi nilikuwa natokea Kibaha nikiwa Mbezi nimeona moja imeandika jina la Kihaya sikukumbuki .Nadhani ndiyo pressure but TZ ina mafisadi wengi sana sasa mtaona ukweli wa hili .Nimekaa Ulaya hii miaka kadhaa hasa hapa nilipo sasa sijaona majina hayo japokuwa yapo .UK mimewahi kuona si nyingi kihivyo .Anyway wacha tuone tunako elekea kila mpya ana yake na huyu kaja na plate number , Mwakyembe train na ATC
 
Hii kitu ya kueka jina sio kwanza ndo inatokea nshaziona gari kadhaa hapa mjini ikiwepo ya Mike T na Muganyizi 1.
Bila shaka walikua wanalipia kwa kueka hivyo sema haikua wazi kwa Taifa kama hivyo ilivyoekwa sasa na pia natumai hata gharama yake haikua kubwa kiasi hiki labda kama kuna mwenye kujua gharama sahihi ya mwanzo atujuze"
 
Mh. Waziri wa fedha amemaliza kuwasilisha bajeti moja ya kitu kipya ni usajili wa magari kwa namba maalum (ie jina lako)unalipa mill 5, Great Thinkers nini mtazamo wako, je ni kuaisha wenye uwezo waonekane hata katika plate namba za magari yao au lengo ni kukuza mapato ya serikali bila kuangalia mitazamo ya kijamii.

Kaka yangu na ndugu yangu unaumia nini kwa tajiri kujionyesha yeye anazo ikiwa sehemu ya utajiri wake ameilipa serikali ili tumtambue? Kifupi hiyo ni njia ya kuongeza mapato ya serikali na si zaidi ya hapo tena ni njia nzuri sana angalau ingekuwa milioni kumi kwani wa tz wengi wanapesa kibao ila hawajataka kuziweka hadharani kama huamini subiri utaona zitakuwa ni namba za kawaida tu.
 
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?

hahahah, Itakuwa jabu kukuta mwenye bodaboda naplate number kama hiyo, Chamuhimu hii kitu iangaliwe kwa makini watu wasichakachue. TENA MUDA NI MDOGO WANGEWEKA MIAKA 2 ILI TUWE WACHACHE MANA HII KITU INATAKIWA IWE UNIQUE!
 
Huu ulimbukeni unaelekea kuua Taifa kwa mtindo huu.
Ya mwaka ujao tusishangae, ikija na style ya vyangu doa na mashoga kupewa lesini na kulipia kodi.
Eeh! Mungu ni chukue mapema kabla maandiko hayajatimia..

Kwa hilo tu la namba za magari unaomba utolewe roho mapema au kuna jingine? KAMA NI HILO HAKIKA DUA YAKO IMEPOKELEWA BAADA YA SIKU KADHAA HATUTAKUONA TENA JAMVINI SALAAM KWA BABU ZAKO.
 
Na ni special kwa wale wanauzia sura magari ya kifahari alafu ukicheck sio ya kwake...
 
  1. Tax Laws and Government Notices (GNs) granting Exemptions on Motor-Vehicles




  1. Madam Speaker, I propose to make amendments in the law that grants motor vehicle exemptions to various beneficiaries through Government Notices so that importation motor vehicles aged more than 8 years from the year of manufacture will now be subjected to the excise duty of 20 percent. The measure is intended to discourage importation of obsolete vehicles and preserve/protect environment.
 
Hizo Mil 5 tano kama zitakua zinatumika kwenye kuendeleza mambo muhimu kwa jamii ni safi sana, lakini kama zitaisha kwa mafisadi hakuna kitu, tunaendelea kutwanga maji kwenye kinu.
 
hahahah, Itakuwa jabu kukuta mwenye bodaboda naplate number kama hiyo, Chamuhimu hii kitu iangaliwe kwa makini watu wasichakachue. TENA MUDA NI MDOGO WANGEWEKA MIAKA 2 ILI TUWE WACHACHE MANA HII KITU INATAKIWA IWE UNIQUE!

Hapa kaka kinchotakiwa ni kodi serikali ilipwe bila kujali ni bodaboda au ni baiskeli kama mtu anpeleka mwenyewe fedha serikalini kwa nini ikataliwe kisa ni bodaboda? Angalia kwa makini wewe unapofanya biashara unaangalia mavazi ya mteja au fedha anayolipia bidhaa/hudma anayotaka?
 
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?

Sio nyingi mkuu, wenye uwezo ndio watalipa, wale kajamba nani kama mie wanaotaka kulazimisha mambo watakua wanawazimu kulipa Mil 5.
 
Tatizo uchelewi kusikia ukitaka hizo plate number zinatoka kupitia Majembe Auction lol. Manake serikali kwa kutoa mapande.
 
Labda TRA wanataka kujua walipakodi/wakwepakodi wao vizuri... ukilipa 5m ya plate number, watajua kama unastahili ama la... Naota kumbe tuko Tz
 
Back
Top Bottom