Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Itakuaje kwa wale ambao majina yatafananana? Lets say mimi Mtei nataka gari yangu iwe na jna langu halafu na ndugu zangu wengne nao wanataka ku2mia jna hlo hlo maarufu. Itakuaje?
Itakuaje kwa wale ambao majina yatafananana? Lets say mimi Mtei nataka gari yangu iwe na jna langu halafu na ndugu zangu wengne nao wanataka ku2mia jna hlo hlo maarufu. Itakuaje?
- Tax Laws and Government Notices (GNs) granting Exemptions on Motor-Vehicles
- Madam Speaker, I propose to make amendments in the law that grants motor vehicle exemptions to various beneficiaries through Government Notices so that importation motor vehicles aged more than 8 years from the year of manufacture will now be subjected to the excise duty of 20 percent. The measure is intended to discourage importation of obsolete vehicles and preserve/protect environment.
The measure is intended to discourage importation of obsolete vehicles and preserve/protect environment.
si unataka kuuza sura!
But five mill, is too much, hiyo gari umeinunua kwa gharama gani? corola ya 7 mill na plate number ya 5mill?
ha ha sie wenye baiskeri tushayazoea hayo tena tunaandika bure kabisa km,usimchezee chatu nk
Mimi naona ingekuwa miaka 5 ingekuwa nzuri zaidi. Halafu kusingekuwa na ushuru wa magari chakavu isipokuwa ya "commercial" tu. Haya mengine madogo ingekuwa umeingiza la zaidi ya miaka 5 linakwenda kuuzwa kama chuma chakavu unarudishiwa hela yako baada ya kutoa gharama za bandari.
Kuna watu wameweka majina yao sijui zamani ilikuwa kiasi gani.
Ya mwaka ujao tusishangae, ikija na style ya vyangu doa na mashoga kupewa lesini na kulipia kodi.
Eeh! Mungu ni chukue mapema kabla maandiko hayajatimia.. Wala usiogope mkuu hayo lazima yatatimia tu hata miaka mia ua elfu ijayo tena utasikia mbuge akilalamika kwamba serikari imepoteza pesa kwa kuchelewesha hizo leseni. ALIYE MSAFI NA AZIDI KUWA MSAFI NA ALIYE MCHAFU .......
Mnacho kiwanda cha magari nchini kwenu? kama hamna msiwakwaze wenzenu kwa kushiba kwenu bagger ndio muwazuie kula ugali wa dona eti unasababisha uharibifu wa mazingira kwasababu zinatumika kuni kupikia ugali ukilinganisha na gesi kupikia bagger!!!!! ELIMU IKITUMIKA VIBAYA NI BOMU HATARI KUZIDI LA ATOMIC = mimi