Bajeti imewasilishwa; Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mil

Bajeti imewasilishwa; Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mil

Watu wa TRA wanapopatia rushwa ni hapo kwenye gharama ya gari CIF. Hawa jamaa hawakubali hata kidogo ile bei iliyoandikwa kwenye makaratasi. Wanaweka bri ya juu mpaka uwape kitu kidogo.
 
Kweli kabisa ni juhudi binafsi. Bila juhudi binafsi asingefika alipo.

Inanidhihirishia kuwa wenzetu mnaburuzwa bila kuwa na uwezo binafsi. Ahsante sana.

Na ni hivyo hivyo kwa Kikwete, au umesahau kuwa na yeye ni mchumi?
Al- maana yake hata walimu ni viwango duni kwi! Kwi! Kwi!
 
Poa mkuu shukrani hivi kabla ya hii 20% excise duty ya uchakavu awali walikuwa wanapiga ngapi? maana walishaanza kupiga japo ilikuwa 10yrs from year of manufacture sasa wamebana hadi 8yrs

Miezi miwili tu iliyopita wamenibamiza tax kubwa sana, gharama alizopambanua siku utakapopata gari utashangaa gharama ni zaidi ya hiyo. Figure unayopata wewe tofauti na wanayokupatia ingawa fomula ni ileile.
 
Tunapokosea ni pale tunapodhani gari lenye miaka mingi ni chakavu! unaweza kukuta gari iiliyotengenezwa mwaka 1999 ina mileage lets say 86,000km na gari iliyotengezwa 2004 ina mileage 250,000km kati ya magari haya mawili lipi chakavu??hii sera ya gari chakavu ni ya kuangalia upya! halafu wenzetu mfano japan hawana haja ya ku damp magari mabovu kwetu maana huwa wana recycle na kuunda mengine au kutumia chuma chakavu kutengeneza vitu vingine!!

Hapo umenena mkuu! ku-define uchakavu wa gari kwa kuangalia year of manufacture is not correct at all, though nakubaliana kwa namna fulani kutumia kigezo cha mileage coz at least it gives sense! gari inaweza ikawa imenunuliwa recently lakini ndani ya muda mfupi ikawa imetembea mileage nyingi kuliko iliyonunuliwa zamani na hii inatokana na matumizi ya gari, na mileage ndo kigezo cha ubora au ukuukuu wa gari ambacho wateja hupenda kuzingatia.
 
Kweli kabisa ni juhudi binafsi. Bila juhudi binafsi asingefika alipo.

Inanidhihirishia kuwa wenzetu mnaburuzwa bila kuwa na uwezo binafsi. Ahsante sana.

Na ni hivyo hivyo kwa Kikwete, au umesahau kuwa na yeye ni mchumi?

Zomba bana kwa kutoa watu kwenye mada! Yaonekana kama umesoma political economy vile?!!
 
Ndani ya bajeti mpya, serikali imetangaza rasmi kuwa wamiliki magari wana nafasi ya kuchagua kati ya kuweka jina lake au namba ya gari. Ni mradi mpya hapa nchini unaotumika sana na nchi za ulaya wenye lengo la kuongeza pato la serikali. Mteja wa huduma hii atatakiwa kulipa milioni tano kila baada ya miaka mitatu. Ww unasemaje...changia hoja
 
"SHARK"
Sound good eeeee???

But what if I have more than one Car? And I want all of them to bear the name "SHARK"?

Or even, what if two persons sharing same name?

Is this an annual fee? Or payable at once?

Vitz ya 6mil ukaiwekee jina kwa 5mil, that is typically "masaburi" in action.
 
Kuongeza mapato ya nchi pia hata matajiri wakinekana sio mbaya kwani wajulikane ama wasijulikane hawapungukiwi na kitu
 
Kwa hilo tu la namba za magari unaomba utolewe roho mapema au kuna jingine? KAMA NI HILO HAKIKA DUA YAKO IMEPOKELEWA BAADA YA SIKU KADHAA HATUTAKUONA TENA JAMVINI SALAAM KWA BABU ZAKO.

Hahahaaha mbavu zangu
 
Huo ni mkakati wa serikali kujiongezea mapato na wala sio kwa ajili ya watu kujionesha kuw wanapesa...

Sure, hasa kwa wale wanaopenda kulipa kodi inayostahiki
 
Angefanya 50 milioni ningeifagilia. Milioni 5 ni kidogo sana kwa mabishooo
 
Na kuingiza magari ya mizigo, hesabu yake ni ipi?
 
Ni wazo zuri,wenye nazo za matumizi kama hayo angalau wachangie bajeti badala ya kila leo Paye juu!
 
Pesa ya plate # ni ndogo sana wangefanya angalau 20m kwa 5m watakuwa wengi matokeo yake ladha itapungua, wapigaji wa mjini wataliza watu sana.
 
Itakuaje kwa wale ambao majina yatafananana? Lets say mimi Mtei nataka gari yangu iwe na jna langu halafu na ndugu zangu wengne nao wanataka ku2mia jna hlo hlo maarufu. Itakuaje?

Hili nalo ni neno mkuu kwani mfano ajali ikitokea na mtu kukimbia kuna hatari akakamatwa asiyehusika. Sijui wamejipangaje kwa hili.
 
Back
Top Bottom