Wana JF, bajeti ya serikali ya mwaka 2011/2012 ilishapita lakini hatujaona matangazo ya ajira wala ajira au ndio kama miaka miwili iliyopita? serikali isijisifu tu kwa idadi ya vyuo na wanachuo bali waaandae sera za kuwepo ajira manake hili ni bomu wanalojitengenezea, mfn. kiongozi mmoja anasema UDOM Itakua ikitoa wahitimu 40,000 kila mwaka ila hajasema watajiajiri/waaajiriwa wapi.