Bajeti ishapitaga ajira zipo wapi au ka mwaka jana na juzi?

Bajeti ishapitaga ajira zipo wapi au ka mwaka jana na juzi?

mchakachuaji

Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
58
Reaction score
7
Wana JF, bajeti ya serikali ya mwaka 2011/2012 ilishapita lakini hatujaona matangazo ya ajira wala ajira au ndio kama miaka miwili iliyopita? serikali isijisifu tu kwa idadi ya vyuo na wanachuo bali waaandae sera za kuwepo ajira manake hili ni bomu wanalojitengenezea, mfn. kiongozi mmoja anasema UDOM Itakua ikitoa wahitimu 40,000 kila mwaka ila hajasema watajiajiri/waaajiriwa wapi.
 
hizo wala usizitegemee zishatangulizwa Igunga kitambo mno, na ile ya miaka ile miwili iliyopita ilipelekwa kwenye uchaguzi uliopita hivyo usijiulize sana mkuu! hata sie huku tulitoa wagani kibao lakini hadi sasa wanasota kitaa bila mafanikio hadi wanatia huruma yaani walivopauka! Hii serikali ione hivi hivi, lakini one day watakoma tu...
 
Back
Top Bottom