Sasa dawa ni kufuta Kodi ya line au ya tozo za Salio ?Inawzekana Makusanyo kupitia miamala ya simu imeshuka baada ya kuweka tozo
Naomba ufafanuzi kwenye "Kulingana na uwezo wa kuweka salio"Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio.
"Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili kuchochea matumizi ya kielektroniki katika miamala mbalimbali"
Yangeshuka Vodacom wasingepata faida..Inawzekana Makusanyo kupitia miamala ya simu imeshuka baada ya kuweka tozo
Amepwaya kabisaWaziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio.
"Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili kuchochea matumizi ya kielektroniki katika miamala mbalimbali"
Hatari akili ndogo kuongoza akili kubwa, basi kaona atapata credits za kutosha, tunasafari ndefu ya maendeleoIla viongozi wengine bhana...
Sijui wanafikiriaga nini!!
Ujinga ujinga mwingi sana
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app