crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,207
Makosa makubwa yamefanywa kutoza VAT kwenye malipo ya Bima. Hatua hii inaonesha namna gani waandaaji wetu wa bajeti walivo dhaifu sana katika mambo ya uchumi na ni wepesi wa katika ufahamu wa maendelo ya sekta ya BIma nchini.
Habari zilizopo ni kuwa waandaaji hawa wa bajeti na TRA hawakuwashirikisha wadau wa Bima katika uamuzi huu. Hii ni dharau kubwa na kutofahamu umuhimu wa secta tofauti kushirikishwa katika uandaaji wa bajeti. Sio TIBA wala ATI waloshirikishwa kutaka ushauri wao kuhusu suala hili.
Huduma za bima sio anasa ni matumizi ya lazima yanayolinda uchumi wetu dhidi ya majanga. Kiwanda chenye Bima ya Fire kikiungua huweza kuendelea kulipa mishahara wafanya kazi kwa kipindi maalum kutokana na bima inayoitwa Loss of Profit au consequetial loss . Na pia kiwanda hichi kitapata fidia ya kukiwezesha kurudi katika uzalishaji . Hili likitokea kiwanda kitaendelea kuzalisha na kuajiri hivyo kuendelea kulipa kodi zake serikalini.
Bila ya Bima kiwanda kitafungwa na wafanya kazi watasimamishwa kazi na pia Serikali itakosa kodi ambazo kiwanda hicho ilikua inalipa. Chukulia kiwanda kina ajiri watu 1000 ni Payeee kiasi gani serikali itazikosa ? Fikiria na kodi nyengine ngapi itakosa ?Tanzania mpaka sasa penetration ya huduma ya bima iko chini ya 0.80% .
Awareness iko chini sana ni secta iliyo changa Sana na ina changa moto nyingi sana. Karibuni kulikua na mjadala wa Sera ya TAifa ya Bima 2015 - 2025. Yalijaliwa mengi kuhusu secta hii ikiwamo kuongeza kiwango cha msamaha wa kodi kwa wale wanaokata Bima za maisha ili kuhamasisha savings kwa raia. Na waandaaji wa sera hii ni wasomi wetu wa BOT na hazina ? leo hao hao wanaenda kinyume kabisa na sera ambayo tumekubaliana kuipitisha. Mambo ya ajabu kabisa.
Mwaka jana insurance Premium zilipanda sana kutokana na hasara ambazo mashirika ya Bima yamekua yakipata. Upandaji huu wa gharama za BIma ulipingwa sana na watumiaji wa huduma za bima na wizara ya fedha kupitia naibu waziri alizuia zoezi hilo mpaka mwafaka upatikane.Hali hii ilifanya kuwe na mazungumzo na hatimae wadau walikubaliana juu ya kiwango cha kupanda kwa gharama hizo. Juu ya hivyo gharama bado ni kubwa na wengi walipunguza ukubwa wa bima zao na wenye magari wengi wLi opt kufanya third party insurance.
Leo wizara hio hio ya fedha inakuja na kuweka VAT kwenye malipo ya bima. Hali hii itaongeza premium zote za bima.
Wale wenye magari sasa watapaswa kulipa zaidi kwenye bima zao na wenye viwanda nao watapaswa kulipa zaid kwenye viwanda vyao. Gharama za uendeshaji zitapanda viwandani na wenye makampuni ya transport.
Halii hii itaweza kufanya watu wapunguze kutumia huduma ya bima au wenye viwanda wanaweza ku arrange bima njee ya nchi ambapo ni rahisi zaidi . Pia wenye magari wataendelea ku take risks na kukata bima ya chini au feki.Hili likipangwa Brokers wengi sio VAT registered hivyo utekelezaji utakua mgumu hapo 1st July.
Na hili linakuja kwa wataalamu wetu wa uchumi pale BOT kuwa dhaifu sana , wakiwa na kiburi sana , huwa hawataki kushirikisha wadau katika mambo mengi yanayohusu maendeleo ya nchii hii. Hujifanyia mambo watakavyo wao tu bila ya kuwa na ujuzi wa sekta husika.