Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

Landson Tz

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
304
Reaction score
238
Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita.

Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru;

1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni kukosekana kwa huruma na ni kumkomoa mwananchi.

2. Kuongeza kodi kwenye sement, jamani sawa bwana.

3. Hata taulo za watoto, haya bwana.

Landson TZ
 
Tuliayona mapema
haya sasa wacha tuone mwisho!
 
Kwa kweli viongozi wa Tanzania wana moto wao special siku ya kiama chao
 
Back
Top Bottom