Bajeti: Rais Uhuru Kenyatta atenga zaidi ya Sh. Bilioni 25 kukuza kilimo cha mirungi

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
C8kAuvMXUAAalNI.jpg

Rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya leo amepokea ripoti ya namna ya kukuza kilimo cha mirungi ili kiongeze faida na kuchangia pato la Wakenya na kutoa ajira kwa watu wake.

Katika bajeti iliyopendekezwa wiki iliyopita, Serikali nchini humo imetenga KSh 1.2 Bilioni sawa na zaidi ya Bilioni 20 za Kitanzania katika kukuza sekta hio ya kilimo cha mirungi.

Pamoja na hilo Kenyatta amewahakikishia wakulima wadogo na wa kati kuwapatia mikopo kupitia taasisi mbali mbali za kifedha na kuwawezesha kwa mitaji ya kuanzia ili kuboresha kilimo hicho.

" I have Received a report containing recommendations to improve the profitability of miraa farming.

I Directed release of Sh1.2 billion to promote miraa after task force presented report."

Ni wakati sasa Watanzania kuangalia upya sera yetu ya dawa za kulevya na kujifunza kutoka kwa majirani zetu.
 
Acha waendelee na maamuzi yao na sisi tunaendelea na maamuzi yetu ya kupambana na mirungi.
 
ahaaaa.....aisee ndo maana kuna hata mbunge wetu aliwahi kusema
kama vipi "ngumu kumesa" ihalalishwe ili iwe free to every citizen anayetaka.
 
vzr lkn kila taifa linataratibu zake, ndio maana Us ushoga halali kwtu haramu.
 
SA next year wanaweza kuhalalisha bangi. Kenya ndio khat hiyo hadi kwenye budget ipo duh!

SA wanahalalisha ili ilimwe kwa wingi ila target ni masoko ya first world.
 
mirungi ni marufuku tanzania? dah! sikua na habari.
 
Meanwhile, watu wanakufa njaa huko Northern Kenya.
 
Mwenzake yuko bize na maflai ova
Baba halalisha mjan mvua nying saiv
 
C8kAuvMXUAAalNI.jpg

Rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya leo amepokea ripoti ya namna ya kukuza kilimo cha mirungi ili kiongeze faida na kuchangia pato la Wakenya na kutoa ajira kwa watu wake.

Katika bajeti iliyopendekezwa wiki iliyopita, Serikali nchini humo imetenga KSh 1.2 Bilioni sawa na zaidi ya Bilioni 20 za Kitanzania katika kukuza sekta hio ya kilimo cha mirungi.

Pamoja na hilo Kenyatta amewahakikishia wakulima wadogo na wa kati kuwapatia mikopo kupitia taasisi mbali mbali za kifedha na kuwawezesha kwa mitaji ya kuanzia ili kuboresha kilimo hicho.

" I have Received a report containing recommendations to improve the profitability of miraa farming.

I Directed release of Sh1.2 billion to promote miraa after task force presented report."

Ni wakati sasa Watanzania kuangalia upya sera yetu ya dawa za kulevya na kujifunza kutoka kwa majirani zetu.
Mh aisee wenzio serikalini wakikusikia utawafanya kama unawafunfisha kazi vile halafu watakudai kodi sababu umeanzisha chuo cha kufunda serikali
 
C8kAuvMXUAAalNI.jpg

Rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya leo amepokea ripoti ya namna ya kukuza kilimo cha mirungi ili kiongeze faida na kuchangia pato la Wakenya na kutoa ajira kwa watu wake.

Katika bajeti iliyopendekezwa wiki iliyopita, Serikali nchini humo imetenga KSh 1.2 Bilioni sawa na zaidi ya Bilioni 20 za Kitanzania katika kukuza sekta hio ya kilimo cha mirungi.

Pamoja na hilo Kenyatta amewahakikishia wakulima wadogo na wa kati kuwapatia mikopo kupitia taasisi mbali mbali za kifedha na kuwawezesha kwa mitaji ya kuanzia ili kuboresha kilimo hicho.

" I have Received a report containing recommendations to improve the profitability of miraa farming.

I Directed release of Sh1.2 billion to promote miraa after task force presented report."

Ni wakati sasa Watanzania kuangalia upya sera yetu ya dawa za kulevya na kujifunza kutoka kwa majirani zetu.
Sasa hivi anatafuta kura za wasomali.ili kapo lake lijae.so any thing thing as long as italeta kura acept it
 
Back
Top Bottom