Mkolokotiatanas
Member
- Mar 2, 2013
- 63
- 7
walimu sasa shangwe,walimu wamepewa promise ya kupata kiwango kikubwa cha mshahara.

Kumbe promise yaleyale
Mkuu kama ulimsikiliza vizuri waziri mishahara itapanda na makato kwenye mishahara yatapungua.Jamani someni kwanza hiyo bajeti. ni ujinga kudanganya watu mishahara mipya tayari imeishatangazwa na waziri wa utumishi wa umma na kwa mwaka huu kila kitu kipo wazi. ispokuwa kinapanda kulingana na ngazi yako ya mshahara.
Acha kudanganya watu. nafikiri huna kazi ya kufanya, sijui hii mnatoa wapi yupo mwingine ameandika Mishahara Juu kwa watumisha wa serikali! lakini sio kweli kabisa.
Mkuu kama ulimsikiliza vizuri waziri mishahara itapanda na makato kwenye mishahara yatapungua.

Hahahaha nimecheka sanaWatu wanakuja na taulo mkononi kumbe
ahadi,jaribu kuwa makini .