BAJETI:Walimu sasa shangwe.

BAJETI:Walimu sasa shangwe.

Jamani someni kwanza hiyo bajeti. ni ujinga kudanganya watu mishahara mipya tayari imeishatangazwa na waziri wa utumishi wa umma na kwa mwaka huu kila kitu kipo wazi. ispokuwa kinapanda kulingana na ngazi yako ya mshahara.

Acha kudanganya watu. nafikiri huna kazi ya kufanya, sijui hii mnatoa wapi yupo mwingine ameandika Mishahara Juu kwa watumisha wa serikali! lakini sio kweli kabisa.

jaribu kusoma kwa makini bajeti 2013/14 hapa

http://postgiver.com
 
Kumbe promise yaleyale

Hata "maisha bora kwa kila Mtanzania" ni unfulfilled promise.

Kuna promise nyingine zaidi ya mia moja, ambazo zimetimizwa ni asilimia kumi tu, tena kwa mujibu wa Wabunge wa CCM .

Promise, promise, promise. Sijui lini tutatimiziwa hizo promise.
 
Jamani someni kwanza hiyo bajeti. ni ujinga kudanganya watu mishahara mipya tayari imeishatangazwa na waziri wa utumishi wa umma na kwa mwaka huu kila kitu kipo wazi. ispokuwa kinapanda kulingana na ngazi yako ya mshahara.

Acha kudanganya watu. nafikiri huna kazi ya kufanya, sijui hii mnatoa wapi yupo mwingine ameandika Mishahara Juu kwa watumisha wa serikali! lakini sio kweli kabisa.
Mkuu kama ulimsikiliza vizuri waziri mishahara itapanda na makato kwenye mishahara yatapungua.
 
Mkuu kama ulimsikiliza vizuri waziri mishahara itapanda na makato kwenye mishahara yatapungua.

Mkuu Thatha mbona unatumia ID zaid ya moja? Ona sasa mods wamekuumbua kumbe w ni mwanza Live.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu majukwaa yote hujayaona mpaka
unakuja kuleta u-serukamba hapa ?
Nenda Chit Chat

Watu wanakuja na taulo mkononi kumbe
ahadi,jaribu kuwa makini .
 
ila kwa ukimya wa serikali kutaja popote, pamoja na ile package ya wizara labda, wataweka 50 au 30% T.ALLOWANCE
 
Back
Top Bottom