wametapika wakala matapishi yao wenyewe...mbona walijidai kuwa eti mtikisiko wa kiuchumi hautatugusa??? Wachumi wa tz bwana. Na ndulu hana jipya lecturer huyo!!! Afadhali hata balali marehem aliweza ku-control vema fiscal and monetary policies, especially monetary policy.
wametapika wakala matapishi yao wenyewe...
haina shaka mkuu pamoja...acha tu mkuuu, inatupa shida kama vile wataalam wa uchumi hatuna!!!?? Ngoja niwahi zangu foleni nikajumike na familia yangu. Inakatisha tamaa. Endelea kurusha yanayojiri please, hasa kwa wale ambao hawapati linki ya mediaplayer.
labda alizungumzia nyumba yake binafsiwamefulia hao hawana lolote. Nakumbuka huyo ndulu alisema tz haitaathirika na hii economic crisis. Sasa leo yako wapi?