Sare za kijani ni nguo kama zilivyo nguo nyingine! Sawa na kanzu mtu yeyote yule anaweza kuvaa mkuu! Isikupe shida saana we sikiliza hotuba ya muheshimiwa!Sasa sare za kijani za nini? mi nadhani kuna umuhimu wa kuliangalia upya hili swala la kofia mbili. Ndo maana mambo mengi yanakwenda ndivyo sivyo kwani chama huyo huyo, nchi huyo huyo hakuna wa kumsaidia mwenzie.. linalotoka ni hilo hilo, liwe zuri ama baya..
Anyway wacha tusubilie hizo pumba/mchele ...
kwa kifupi wananene wote wapo sijamwona maana hata bungeni asubihi sikumwona labda yupoBaba mdogo wa Taifa Dr. Slaa yupo?
edward lowasa au?jamani niulize huyu el ndo nani eh?
Baba mdogo wa Taifa Dr. Slaa yupo?
sawa pasco ngoja niendelezesijaweza kumuona ila watu ni wengi sana na wabunge wote wapo, inamaana yupo, hata zitto yupo.
Ameshazungumzia sekta ya kilimo, serikali itaingilia kati.
Pia sekta ya madini ya vito, ikiwepo tanzanite bei ni nusu bei ya soko. Gold imesimama.
Naomba mlioko kwenye access ya tv, muendeleze briefing ya anachosema ili mimi niwapatie mengineyo sio hutuba.
Mtandao wa voda ni bure kabisa uko too slow, hivyo anayeona live anaweza post faster kuliko mimi niliyeko
humu ukumbini.