Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

Bajeti ya 2009/2010 Tanzania

Serikali itadhamini madeni kwa kipindi cha miaka miwili serikali imekwisha toa bln 45 kwa ajili hii
 
Kulaleki, ni nini hii!!!!! ???Kweli siasa ni mchezo wa kuhadaaa!!! Anaandaa mindset za wabunge kuhusu bajeti ili mkwala usizuke!!!! Halafu matumizi kufidia vyama vya ushirika eti vilivyopata hasara??? Kupitia njia hizo tutazipiga juu juu kugharimia tukio lijalo 2010!!!!! kweli kula uliwe.
 
Hii hotuba ni ya kuneutralise debate ya budget maana ni kama anaisoma na anawaanda wambunge
 
Hakuna jipya bali ni kuwaweka sawa Wabunge wa CCM waipitishe hiyo bajeti itakayotangazwa kesho maana kuna baadhi ya Wabunge wameshaanza kuiwekea mikwara.

Bubu Ataka Kusema,

Kuna kitu kweli anachosema JK ambacho utaweza kukikubali? Naona kama uko negative sana na JK.

Kama unafanya hata kabiashara kadogo TZ, utagundua anachosema kina maana kubwa sana kwa wafanyakazi na kwenye kuongeza ajira.

Tatizo ninaliliona mimi ni kwamba policies ni nzuri ila ufuatiliaji kuona kama zinatekelezeka ndiko kwenye matatizo makubwa hasa upande wa mikopo bank.

Anachoongea ni bora zaidi kuliko kukaa kimya. Muhimu tu ni kuwabana ili kweli watekeleze hizi ahadi. Ajira mahali popote duniani zinakuwa created na wafanyabiashara wadogo wadogo. Bila kuwawezesha hao tusahau kutengeneza hizo ajira nyingi.
 
Sijui kwa wengine, ila mie ninavyosikia hii hotuba mbona ipo kisaniii sana. Hana ile authority na seriousness.... tumekwishaaa!!!

Did you expect him to be serious? If that is the case then you don't know him for sure. Mimi nilijuwa kwamba tumekwisha completely 2 months baada ya uchaguzi so sasa hivi hakuna cha kunishtua hata kidogo kwani nimeshaona kila aina ya utumbo tunaofanyiwa na uongozi tuliouweka madarakani kwa kura zetu wenyewe masikini.
 
Tayari hutuba yake imetumwa kwenye thread ya hotuba ya jk dodoma.ziunganishwe hizi threads
 
kila mpango wa kilimo anaotaja utapitia TIB aliko peter noni mzee wa EPA
 
longo longo tupu

yeah! hana jipya blah blah blah nyingi tu hazina kichwa wala miguu. Ukimuuliza amefanya nini tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita hana jibu, atang'aa macho tu.
 
Hapana analo jipya ni hotuba nzuri ya kuonyesha njia kwa hali ngumu ya uchumi
 
inasikitisha sana kama huyu ndie rais wetu aliyeweka wananchi roho juu wanasubiri hotuba yake wakati hana la maana
 
Neno 'mrahaba' mhe amelichanganya na 'mrabaha', akauliza ukumbi ni 'mrahaba' au 'mrabaha'?. Ukumbi ukajibu, 'mrahaba' akasema haya hivyo hivyo 'mrabaha' ukumbi ukaanguka kicheko che furaha ya kosa la kibinadamu.
Wana jamvi, lazima tukubali JK ni carismatic akiongea very serious issues huku akismile na kuongea jockingly ila mpaka sasa so well so good.

Ushauri kwa wenzangu na mimi tusiojua uchumi, hapa rais anatangaza stumulus package kustabilize uchumi wa taifa dhidi ya athari za mtikisiko wa kiuchumi.

Hapa zinashuka nondo nene za kiuchumi, ni mafigure na mafigure ya mabilioni kwa mabilioni. Bila mchumi kulevel down kwenye undestanding ya mtu wa kawaida, wengine mnaanza ku-preempt criticism huku hutuba inaendelea, this is unfair. Tumsikilize, wachumi wamchambue ndipo tufikie suluhisho, hakuna jipya au pumba zipi mchele upi, tuendelee kusikiliza,
Mimi japo si mchumi, nadhani hii hotuma makes serious sense.
 
yeah! hana jipya blah blah blah nyingi tu hazina kichwa wala miguu. Ukimuuliza amefanya nini tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita hana jibu, atang'aa macho tu.

Bubu atakuambia malaria imepungua prevalence kwa 30% hana jipya. Or la zaidi atakutajia kilomita 100 za barabara in total nch nzimai, tano kila mkoa zilizojengwa. Lakini ukifuatilia miradi hiyo yote ya barabara ilianzwa na BWM. Kifupi hii phase zaidi ya safari there is nothing tangible walichofanya.
 
Back
Top Bottom