Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jipya bali ni kuwaweka sawa Wabunge wa CCM waipitishe hiyo bajeti itakayotangazwa kesho maana kuna baadhi ya Wabunge wameshaanza kuiwekea mikwara.
Yeah, that's what I can also see !...Kweli siasa ni mchezo wa kuhadaaa!!! Anaandaa mindset za wabunge kuhusu bajeti ili mkwala usizuke!!!!
Sijui kwa wengine, ila mie ninavyosikia hii hotuba mbona ipo kisaniii sana. Hana ile authority na seriousness.... tumekwishaaa!!!
longo longo tupu
longo longo tupu
yeah! hana jipya blah blah blah nyingi tu hazina kichwa wala miguu. Ukimuuliza amefanya nini tangu aingie madarakani miaka minne iliyopita hana jibu, atang'aa macho tu.