Bajeti ya 2014/15 itaniathiri transaction zangu za leo?

Bajeti ya 2014/15 itaniathiri transaction zangu za leo?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Posts
6,158
Reaction score
4,449
Wajuzi wa sheria naombeni ushauri wa haraka, bajeti imepitishwa jana moja kati ya vitu vilivyopitishwa ni kuondoa nafuu ya kodi ya magari yenye umri chini ya miaka kumi na kwasasa nafuu hiyo itahusu magari umri wa chini ya miaka minane.

Wiki hii nimenunua gari Japani lililotengenezwa mwaka2005 hili gari litafika mwezi wa saba likiwa na umri wa miaka tisa(9).

Je kama manunuzi nimeyafanya mwaka wa fedha 2013/14 lakini gari litaingia mwaka wa fedha 2014/15 nitalipa kodi kwa kutumia sheria za mwaka wa fedha upi?
 
Back
Top Bottom