Sekta ya afya ni asilimia 8 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ilikuwa ni asilimia 11,ifikapo 2015 Tanzania inatakiwa kufikisha asilimia15 ili itimize azimio la abuja na nashindwa kuelewa kama kiasi cha fedha kilichotengwa kinaweza kuleta ufanisi na maendeleo wa afya ya mama na mtoto.
baadhi ya vipaumbele vilivyowekwa kwenye bajeti ni umeme,maji,kilimo,elimu,je sekta ya afya haina umuhimu,lakini mwishoni mwa mwaka huu nchi yetu itatimiza miaka 50 ya uhuru.