Bajeti ya afya

Bajeti ya afya

qeentar

Member
Joined
May 20, 2011
Posts
24
Reaction score
1
Sekta ya afya ni asilimia 8 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ilikuwa ni asilimia 11,ifikapo 2015 Tanzania inatakiwa kufikisha asilimia15 ili itimize azimio la abuja na nashindwa kuelewa kama kiasi cha fedha kilichotengwa kinaweza kuleta ufanisi na maendeleo wa afya ya mama na mtoto.

baadhi ya vipaumbele vilivyowekwa kwenye bajeti ni umeme,maji,kilimo,elimu,je sekta ya afya haina umuhimu,lakini mwishoni mwa mwaka huu nchi yetu itatimiza miaka 50 ya uhuru.
 
Nakushauri urekebishe rangi uliyotumia kwenye post yako, haivutii kuisoma ati. Ni ushauri tu, ukipenda fanya, ukiona vipi potezea!!!
 
wewe nawe sio mzalendo kabisa, badala ujadili mambo ya msingi kama Lissu kuongea kwa jazba unaleta mambo ya afya hapa.
 
poa ila hata sekta hii ni muhimu,au huwa unatibiwa nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom