Bajeti ya Jeshi la Polisi kutoa Elimu kwa Raia ni kiasi gani mwaka?

Bajeti ya Jeshi la Polisi kutoa Elimu kwa Raia ni kiasi gani mwaka?

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
681
Reaction score
1,020
Habri Wakuu,

Nimewahi kujiuliza swali kuhusu elimu za kiraia ambazo jeshi la polisi huwa linatoa huwa ni finyu sana.

Hakuna vipindi vya TV ama majarida yanayotoa elimu kwa Raia kuhusu haki zao ama uhuru wao.

Wajuzi wa mambo nawafuatiliaji wa bajeti za Serikali embu tujuzane hapa.

Bajeti ya Elimu kwa raia mwaka 2024/2025 kwa Jeshi la Polisi ni Kiasi gani.
 
Back
Top Bottom