Nyamsusa JB
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 567
- 1,564
Zuri lipi ewe maamumaKazi kusifia wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.
Jadiri hoja iliyowekwa mezani, (kwanini budget ya Kenya ni karibu mara mbili ya budget ya Tanzania?)...Kazi kusifia wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.
Hiyo ni sera mojawapo ya makamanda uchwara wa ufipa, isikupe tabu.Kazi kusifia wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.
Kenya uzalishaji ni mkubwa sana sisi tumeponzwa na sera za majaribio za ujamaa yaani kumiliki mali utaitwa majina yote ikiwemo kesi ya uhujumu uchumi.Jadiri hoja iliyowekwa mezani, (kwanini budget ya Kenya ni karibu mara mbili ya budget ya Tanzania?)...
Bajeti ya mwenye gari vs bajeti ya mwenye baiskeli.Jadiri hoja iliyowekwa mezani, (kwanini budget ya Kenya ni karibu mara mbili ya budget ya Tanzania?)...
Hawawezi kufikiri kama hivi watu wapo kwa ajili ya matumbo yao,hawawazi ya mbeleWakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..
Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...
Shauri sasa mambo yapi hayo wezeshi yafanywe?Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...