Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True..!Watanzania kinachotuumiza ni roho mbaya za viongozi wetu..
Mkuu on the spot.Landing fees zikoje?KIA ikipanuliwa na kuwa kubwa zaidi na iwekwe mazingira ya kuzivutia mashirika ya ndege basi utalii uta boom sana.Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..
Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...
Wakenya kuwa mbele yetu isiwe sababu na wala tusiwachukie kwasababu hiyo, tujiulize shida yetu inaanzia wapi, binafsi naamini shida yetu imeanzia kwa hii kitu inaitwa CCM na vyote vilivyomo ndani yake.
Noma sana lkn ndio hali halisi....Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.
Hii inaonyesha Kenya anaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.
Imeniumiza Roho sana hii.
Kuna mambo mawili yanatusumbuaKwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...
CHADEMA ilikukosea sana nini? Wewe angalia tofauti then ng'amua, Kenya inapaa kwa sababu ya sekta binafsi...tujiulize tunakosea wapi!Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.
Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.
Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Kenya wameweka na bajeti ya kununua mahindi na maharage sisi hatujaweka hiyo bajeti kwa sababu mahindi na maharage tunalima wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wameweka na bajeti ya kununua mahindi na maharage sisi hatujaweka hiyo bajeti kwa sababu mahindi na maharage tunalima wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
... mjamaa uchwara! Sera zilizofeli!Ukweli mchungu Jiwe alichezea uchumi miaka 5 bila budget kuongezeka wala kuwa na graph inayopanda
Sasahivi tungekuwa kwenye trion 50 ila utoto wa kuchezea walipa kodi na kuwafirisi ndio zao lake hili.
Wewe nawe ni Mgonjwa unayehitaji Tiba ya haraka sasa Mambo ya siasa mnaingizaje hapa?.Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.
Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Hapo zaidi ya nusu tunategemea mabeberu na iliyobaki ni wanyonge kulipia laini za simu kila siku.Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.
Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.
Imeniumiza Roho sana hii.